Hebu tusaidiane hapa kidogo

Niko na huyu beshte nakaa na yeye, ako na kwake analipa rent huko, but he's cousins are the ones staying there, now huku hataki kufanya kitu, hataki kulipa tokens, shopping ndio hio hataki, tumekaa na yeye kwanzia September hadi sai.. It's dawning on me nabebewa ufala hapa.. Wifi hataki, na si ati nimeshindwa kulipa.. Nashangaa aje anataka tukae na yeye na hafanyi hizi vitu.

Mind you he's working, nikimuuliza ananiambia ati hua halipiwi and he wakes up very early in the morning kuenda kazi.

Ye anataka akae hapa acheze Playstation venye anataka na kila kitu inafanywa na mtu mmoja. Ama mi ndio naleta utiaji?